Chorus
Nakualika nakualika nawe ndugu yangu
Njoo twende kwake Bwana Yesu (twendeni)
Tukamueleze shida zetu zote (Yeye) anaweza yoten{ Matatizo yetu - tukampe Yeye, tukampe Yeye atatufariji } *2
Verse 2
---MASHAIRI---
Yeye mwenyewe alisema,
Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao
Na kuelemewa na mizigo, nami nitawapumzisha
Verse 3
Yeye mwenyewe alisema,
Ombeni ombeni ombeni mtapewa
Tafuteni mtapata, bisheni hodi mtafunguliwa
Verse 4
Tujikabidhi mbele zake,
Bwana Yesu atatuponya na magonjwa
Magonjwa ya mwili na roho, tukiwa na imani kwake
Verse 5
---HITIMISHO---
Unangoja nini wewe twende (twende) twende (twende) kwa Yesu
Wala usiogope wala usisitesite,n{ Twende pamoja, usibaki nyuma, twende } *2n