SectionsThanksgivingTwashukuru Baba Mungu

Twashukuru Baba Mungu

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Easter,Pentecostal,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Easter,Ordinary Time,Marian,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,MarianThanksgiving
Verse 1

Twashukuru Baba Mungu, kwayo mema yako yote

Kwayo mema yako Baba, ambayo watujalia

Chorus

Sifa kwako ee Baba, watupenda sana,

Ninakutukuza kwa nyimbo nzuri ee Baba

Verse 3

Mwambieni na matendo, yake Bwana yanatisha

Yanatisha kama nini tukuzeni sifa zake

Verse 4

Mkonowe wa kuume umetenda makuu

Mkonowe si tunasema, umetenda maajabun

Verse 5

Mwimbieni Bwana Mungu, mwimbieni wimbo mpya

Kwa vinanda na kwa vinubi, kwa nderemo na vifijon