Verse 1
Twaleta sadaka ni sadaka aa ni sadakan
Chorus
Mungu Muumba [io] Baba Mwenyezi
Utupe nguvu [io] za kumshinda
Mwovu Shetani-hiyo uu hiyo
Verse 3
Twaleta mazao ni mazao aa ni mazao
Verse 4
Twaleta mkate ni mkate aa ni mkaten
Verse 5
Twaleta divai ni divai aa ni divai