SectionsOffertoryTwaleta Sadaka Zetu

Twaleta Sadaka Zetu

Marian,Ordinary TimeOffertory
Verse 1

Twaleta sadaka zetu - e Baba pokea

Jasho la mikono yetu twaomba uzipokee *2

Chorus

Mbele ya altare yake, twaleta na nyoyo zetu

Kwa huruma yako Baba, twaomba ututakase

Verse 3

Twaleta mazao yetu - e Baba pokea -

Verse 4

Twaleta mkate wetu - e Baba pokea

Verse 5

Twaleta divai yetu - e Baba pokea-