Twakushukuru

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

Twakushukuru, umwema sana,

Yesu, asante.

Verse 2

Kwa kutulisha sisi -

Kwa kutunywesha sisi -

Kwa kujiunga nasi -

Kwa kutuunganisha -n

Kwa mwili wako bora -

Kwa damu yako bora -

Kwa kuja ndani yetu -

Kwa kukaa na sisi -n

Kwa mafundisho yako -

Kwa mfano wako bora -

Kwa msalaba wako -

Kwa ufufuko wako -n

Kwa sacramenti zako -

Kwa uchungaji wako -

Kwa maombezi yako -

Kwa ukombozi wako -n

Kwa kujifanya mtu -

Kwa kutupenda sisi -

Kwa kutuvuta kwako -

Kwa mema yako yote -