SectionsThanksgivingTwakushukuru Baba Mungu

Twakushukuru Baba Mungu

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Easter,Pentecostal,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Easter,Ordinary Time,Marian,Marian,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

Twashukuru Baba Mungu, kwayo mema yako yote

Kwayo mema yako Baba, ambayo watujalia

Verse 2

Sifa kwako ee Baba, watupenda sana,

Ninakutukuza kwa nyimbo nzuri ee Baba

Verse 3

Mwambieni na matendo, yake Bwana yanatisha

Yanatisha kama nini tukuzeni sifa zake

Verse 4

Mkonowe wa kuume umetenda makuu

Mkonowe si tunasema, umetenda maajabu

Verse 5

Mwimbieni Bwana Mungu mwimbieni wimbo mpya

Kwa vinanda na kwa vinubi, kwa nderemo na vifijo