Chorus
Twakusalimu Mama Bikira
Twakusalimu Mama Bikira
Salamu Malkia wa Mbingu (mama)n{Umejaa neema, Maria
Umebarikiwa, ee Mama
Utuombee eh kwa Mungu }*2
Verse 2
Mama yetu mwema, Bikira
Chombo cha heshima, Marian
Verse 3
Mama yake Mungu, Bikira
U mwombezi wetu, Maria
Verse 4
Mama wa Muumba, Bikira
Mama wa Mwokozi, Maria
Verse 5
Mama mpendelevu, Bikira
Ewe mwenye heri, Maria
Verse 6
Mzazi 'takatifu, Bikira
Mkuu wa mabikira, Marian