SectionsOffertoryTwakupa Sadaka Yetu

Twakupa Sadaka Yetu

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Easter,Pentecostal,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,EasterOffertory
Verse 1

Twakupa sadaka yetu - Bwana pokea

Uifanye mali yako - Bwana pokea

Chorus

Ndicho tulicho nacho (Bwana) Mungu pokea, twaomba *2

Verse 3

Upokee huo mkate - Bwana pokea

Upokee nayo divai - Bwana pokean

Verse 4

Pokea na fedha zetu - Bwana pokea

Pokea mazao yetu - Bwana pokean

Verse 5

n//hitimisho//n

Pokea ee Mungu pokea pokea ee Bwana Mungu