Verse 1
Mama Maria Mwombezi wetu,nmama wa neema na hu-ruma
Tusikilize Mama wa Yesu,ntusikilize wakosefu
Chorus
Twakuomba Mama Maria,nkwa Mwanao Mama tuombee
Sala zetu Mama Maria,nkwa Mwanao mama zifikishe
Nyoyo zetu Mama Maria,nzatamani kufika mbinguni
Verse 3
Mama Maria uliye mwema,ntuliza nyoyo zetu wanao
Tunaposhindwa tusaidie,ntusije baki katika gizan
Verse 4
Mama Maria twakuamini,nmama wa Mungu msaada wetu
Matumaini yetu ni kwako,nkatika shida tusimamie
Verse 5
Mama Maria usituache,numpelekee Bwana maombi
Atubariki wenye mashaka,ntupate uzima wa milele