Chorus
Twaja mbele zako
Ee Bwana na sadaka zetu twaleta
Tunakutolea, twakuomba upokeen
Verse 2
Tunakutolea sadaka yetu
Ee Bwana twakuomba upokee
Verse 3
Kwa moyo safi twakutolea
Twakuomba upokee ee Bwanan
Verse 4
Mkate na divai twakupa
Twakupa kwa moyo wa mapendon
Verse 5
Mazao yetu uyapokee
Pokea ni jasho letu Bwana
Verse 6
Na nyoyo zetu pia twatoa
Twaomba utujaze neema