Twaja Kwako

Ordinary TimeOffertory
Chorus

Twaja kwako Baba Mungu na vipaji vipokee *2

Tu wa dhambi - Baba Mungu twakusihi tupokee.

Tunaleta - sadaka twakusihi upokee

Mkate pia - na divai twakusihi upokee *2

Verse 2

Sadaka tunaleta, japo sisi wakosefu,

Twakuomba Baba Mungu, upokee ni vipaji.

Verse 3

Mkate pia na divai, vyote tunakutolea,

Vitakase vibariki, twakuomba vipokee

Verse 4

Tunaleta na mazao, ni mazao ya mashamba,

Kazi ya mikono yetu, twakusihi upokee

Verse 5

Fedha za mifukoni, yote ni mali yako,

Yote tunakutolea, Baba Mungu upokee.n