Twaileta Sadaka

Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus

Twaileta Sadaka *3 Twaomba pokea Bwana *2n(Leba mwenu twaijaji)Twaija na matuma kiazi *2

Verse 2

Mazao ya mashambani na fedha za mifukoni

Twazileta Baba twaomba pokea Bwana

Verse 3

Na kazi tunazofanya twaomba zikupendeze

Tunakuomba Baba twaomba pokea Bwana

Verse 4

Pia na shida zetu zisiwe kelele kwako

Tunakusihi Baba twaomba pokea Bwana

Verse 5

Na nyimbo tunazoimba twaomba zikupendeze

Tunakuomba Baba twaomba pokea Bwanan