Chorus
Twaeni mle wote (huu ndio mwili wangu)
Twaeni mnywe wote (hii ndio damu yangu)
Fanyeni hivi kwa kunikumbuka mimi x4
Verse 2
Yesu, alitwaa mkate, akashukuru, akaumega,nakawapa wafuasi wake, akisema.n
Huu, ndio mwili wangu, twaeni mle wote,nakawapa, fanyeni hivi,nkwa kunikumbuka mimin
Hii, ndiyo damu yangu, twaeni mnywenwote, akawapa, hiki ni kikombe,ncha damu yangun