Chorus
Watoto wetu ni Baraka tu,na tuwatunze watoto wetu,nhawataacha njia, Mwenyezi, kwa neema anayowajalian(basi wapenzi) tulee watoto kwa mapendo,n(hivyo ndugu) tulee watoto kwa hekima nao waimariken(ni baraka) tulee watoto kwa hekima nao waimarike.
Verse 2
Ni bahati kabisa tuliyojaliwa,ntujitolee kuwalea ipasavyo ha!
Na kuwafunza yaliyo mema kijamii
Verse 3
Kweli wengine wanahusisha watoto,nwadogo kwa mambo yasiyoeleweka ha!
Na kuwafunza yasiyofaa kijamii
Verse 4
Tusiwatese watoto Mungu asema,nacheni wote waje kwangu nawapenda ha!
Tuwafundishe yale yanayostahili
Verse 5
Na vile watoto uwaleavyo wewe,nusiwanyime haki zao uwalinde we!
Uwapende uwatunze uwatumikie