Tusimame Ndugu

Presentation of Gifts
Verse 1

Tusimame ndugu (leo) twende kwake Bwanan(kweli) tusisite ndugun(amka) twende hima (*2)

Chorus

Beba mikononi (mwako) uliojaliwan(leo) peleka kwa Bwana (Mungu)nupate baraka (*2)

Verse 3

(Peleka kwa moyo (ule) moyo wa mapendon(kweli), peleka kwa Bwana (yale)nuliyojaliwa ) *2

Verse 4

(Sadaka ya fedha (kweli) fedha za mifukon(ndugu), amka upeleke (leo)nmezani pa Bwana) *2

Verse 5

(Mavuno, mifugo (vyote) ni mali ya Bwanan(kweli), amka upeleke (leo)nmezani pa Bwana) *2

Verse 6

(Mkate Divai (vyote) tupeleke kwaken(kweli), tupate baraka (tele)nmbele zake Bwana) *2

Verse 7

(Twende ndugu twende (hima) mbelenzake Bwana, (Mungu)ntupeleke nafsi zetu kwake Bwana) *2n