Verse 1
Katika mji wa Daudi, malaika ametangaza
Kwamba kweli amezaliwa kwetu Emmanueli
Yaani Mungu pamoja nasi
Chorus
Na tushangilie, tushangilienna tushangilie, amezaliwa *2
Tushangilie amezaliwa,namekuja leo kutuokoa *2
Verse 3
Usiku huo wa kuzaliwa kwake,
Wachungaji walipashwa habari
Ya kuzaliwa kwake mwenye utukufu
Yaani Mungu pamoja
Chorus
Shangwe kote ulimwenguni
Shangwe leo, Hosanna
Shangwe kote ulimwenguni
Emmanueli amezaliwa
Verse 5
Ulimwenguni kupambazuka leo
Kwani nuru imewajia wote
Wale wanyonge hao wanaojiweza
Basi mbona ubaki gizani?nn
Chorus
Na tushangilie tushangilie
Tushangilie amezaliwa*2