SectionsExitTuserebuke

Tuserebuke

Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Easter,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary TimeExit
Verse 1

Njooni waumini, njooni watu wote

Tuwashangilie hawa wenzetu *2

Chorus

(Tuserebuke iyo)

Tuserebuke wote tuserebuke *4

Tuwashangilie wenzetu

Verse 3

Njooni kina Baba njooni kina mama

Tuwashangilie hawa watumishi *2

Verse 4

Njooni ee vijana wazee watoto

Tuwashangilie Yesu awapenda *2

Verse 5

Kutoka kusini na kaskazini

Tuwashangilie na twimbe leo *2

Verse 6

Toka magharibi hata mashariki

Tuwashangilie wanameremeta *2