Chorus
Tunyunyizie maji ee Bwana
Ututakase dhambi zetu *2
Verse 2
Nami nitawapa nyinyi , moyo mpya
Verse 3
Nami nitatoa, moyo wenu wa jiwe
Verse 4
Nami nitawapa, moyo wa nyama
Verse 5
Nitatia roho yangu, ndani yenu
Verse 6
Nitawaendesha, katika sharia zangu
Verse 7
Nanyi mtakuwa, watu wangu
Verse 8
Nami nitakuwa, Mungu wenu