Chorus
Tunyunyizie maji,nee Bwana ututakase dhambi zetu
Verse 2
• Nami nitawapa ninyi, moyo mpyan• Nami nitatoa, moyo wenu wa jiwen• Nami nitawapa, moyo wa nyaman• Nitatia roho yangu, ndani yenun• Nitawaendesha, katika sheria zangun• Nanyi mtakuwa, watu wangun• Nami nitakuwa, Mungu wenu