Tunakushukuru
Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,MarianThanksgiving
Chorus
Tunakushukuru Mama Mariankwa neema unazotujalia.
Asante mama wa Yesu uliye na hurumanuzidi kutuombea mpaka saa ya kufa.
Verse 2
Mama wa Yesu, Mama mfariji wetu
Asante sana kwa kutusimamia
Verse 3
Neema zako zinatutia nguvu
Asante Mama Maria mtakatifu
Verse 4
Tuna furaha, tuna matumaini
Kwa kuwa tunawe mama wa huruma
Verse 5
Mama wa Yesu, wee mama Maria
Tusaidie tushinde vishawishi
Verse 6
Katika nguvu ndiwe mbarikiwa
Katika maisha ndiwe kinga yeye