SectionsExitTunakusalimu

Tunakusalimu

Marian,Marian,MarianExit
Chorus

Ewe Mama Maria, Mama yetu Mwema

Mama wa Mungu. Sisi wanao leo,

Tunakusalimu, salamu Mama

Verse 2

Mama yetu mwema, Mama yetu Maria

Sisi tunakupenda, tunakupenda sana.

Verse 3

Mama yetu mpenzi, sikia ombi letu

Katika shida zetu, kwa Mwanaontuombee

Verse 4

Mama mbarikiwa, Mama saf wa moyo

Mama mwenye huruma, uwe nasi daima