Tunakuomba

Ordinary TimeOffertory
Chorus

Tunakuomba, upokee Baba

Zawadi zetu leo hii

Sisi wanao tunaleta kwako

Zawadi zetu leo hii

Mkate na divai, mavuno ya shamba

Tunaomba upokee, hata nafsi zetu

Tunakutolea tunaomba upokee

Verse 2

Vipaji vyetu twavileta

Uvibariki uvitakase

Vipaji vyetu vigeuze

Vifanye viwe mwili na damun

Utujalie afya nzuri

Tuendelee kufanya kazi

Msaada wako twauomba

Kwenye maisha ya kila sikun

Uibariki misa yetu

Na sala zetu, na nyimbo zetu

Nasi wenyewe tubariki

Utufkishe huko mbinguni