Tunakuja Na Vipaji Vyetu
Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus
(Tunaleta) mavuno Bwana Mungu pokea.
Tunaleta na fedha, Bwana Mungu pokea.
Mkate na divai twakuomba upokee x2n
Verse 2
Tunakuja na vipaji vyetunmbele zako ee Bwana.
Tunatoa shukrani zetunkwako Baba muumba x2
Verse 3
Ni matunda ya mashamba yetu, uliotujalia.
Ndilo jasho letu sisi Bwana,ntwakuomba pokea x2
Verse 4
Watumishi wako tunakuja,nna zawadi kidogo.
Twakusihi Mungu Baba,npokea mikononi x2
Nafsi zetu zote mali yako, utupoke sisi
Ee Bwana utujalie afya uzima na Baraka x2