SectionsExitTunakimbilia Ulinzi Wako

Tunakimbilia Ulinzi Wako

Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Easter,Ordinary Time,MarianExit
Chorus

{Tunakimbilia - ulinzi wako, Mzazi Mtakatifu wa Mungu

Usitunyime tukiomba katika shida zetu } *2n{ Utuopoe (siku zote) kila tuingiapo hatarini

Ewe Bikira mtukufu mwenye Baraka } *2

Verse 2

Mama wa Mungu, ewe Bikira Maria,

Utuombee kwa mwanao Yesun

Verse 3

Mama wa Mungu, sisi twakukimbilia

Usitunyime kila tuombapo

Verse 4

Mama wa Mungu, Mama usiye na doa

Utuombee kwa mwanao Yesu