Chorus
Tumwimbie Mungu uu u, Aleluya
Tumwimbie Mungu hosanna aa a
Tumwimbie Mungu hosanna aa a
Verse 2
Tunakuheshimu tunakusifu
Tumwimbie Mungu hosanna
Tunakuabudu twakutukuza
Tumwimbie Mungu hosanna
Verse 3
Tunakushukuru mfalme wa Mbingu -
Mwana wa pekee mwana wa Baba -
Verse 4
Unayeondoa makosa yetu -
Utuhurumie tusikilize -
Verse 5
Kuume kwa Baba unapoketi -
Kuume kwa Baba unapoketi -
Verse 6
Roho Mtakatifu pamoja nawe -
Ndani yake Bwana unatukuzwa -