SectionsExitTumwimbie Maria

Tumwimbie Maria

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,MarianExit
Chorus

Tumwimbie Maria nyimbo zetu tumshangilie *2

Verse 2

Kwa utiifu alikubali kuibeba mimba ya Mungu

Ndipo nasi tuweze pata kuuona ufalme wa Mbingu

Verse 3

Ya dunia yote kaacha, kuifuata amri ya Mungu

Amzae Yesu Masiha Mkombozi wa wanadamu

Verse 4

Ya asili dhambi kakingwa hata doa la dhambi hana

Kwa kamilifu wake twapokea neema tele

Verse 5

Tunapchunwa na shetani macho yetu yanamtafuta

Kimbilio letu wanawe, nani kama Mama Maria