Chorus
Tumwimbie Maria nyimbo zetu tumshangilie *2
Verse 2
Kwa utiifu alikubali kuibeba mimba ya Mungu
Ndipo nasi tuweze pata kuuona ufalme wa Mbingu
Verse 3
Ya dunia yote kaacha, kuifuata amri ya Mungu
Amzae Yesu Masiha Mkombozi wa wanadamun
Verse 4
Ya asili dhambi kakingwa hata doa la dhambi hana
Kwa kamilifu wake twapokea neema telen
Verse 5
Tunapchunwa na shetani macho yetu yanamtafuta
Kimbilio letu wanawe, nani kama Mama Maria