Chorus
Tumtolee sadaka, tutoe kwa upendo
Tumtolee sadaka, Mungu baba atabariki
Verse 2
Wazee wakitoa, vijana wakitoa,
Watoto wakitoa, Mungu Baba atabariki
Verse 3
Wababa wakitoa, wamama wakitoa,
Sisi sote tukitoa, Mungu Baba atabariki
Verse 4
Mavuno tukitoa, mifugo tukitoa,
Na fedha tukitoa, Mungu Baba atabariki.