Verse 1
Tumsifu Maryamu enyi wanae
Tumtolee salamu tumshangilie
Chorus
Ave ave Ave Maria *2
Verse 3
Katika uwingu ni ufalme mkuu
Mwondoa hatari mama wa Mungu
Verse 4
Nyota za bahari mlango wa mbingu
Mwondoa hatari mama wa Mungu
Verse 5
Maria Bikira ndiye mteule
Ndiye mwana bora tangu milele