SectionsThanksgivingTumshukuru Bwana

Tumshukuru Bwana

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

Tumshukuru Bwana Mungu wetu

Kwa maana yeye ndiye mwema *2

Verse 2

Katika mashaka nimekaa, ameniokoa Bwana

Verse 3

Bwana ni msaidizi wangu, wala siogopi tena

Verse 4

Nimemkimbilia Bwana, yeye ndiye mwaminifu

Verse 5

Mkono wake wa kiume, umeniinua kweli

Verse 6

Hayo yametendwa na Bwana, nayo ni muujiza kweli