SectionsExitTumepewa Mtoto

Tumepewa Mtoto

Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Christmas,Christmas,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Baptism,ChristmasExit
Chorus

[s:] Tumepewa Mtoton[w:] Tumepewa mtoto mwanaume *2

Na uwezo wa kifalme utakuwa begani mwake *2n[s:] Naye ataitwa jina laken[w:] Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu

Baba wa milele, Mfalme wa amani *2

Verse 2

Maombezi na enzi yake na amani

Hayatakuwa na mwisho kamwe

Verse 3

Katika kiti cha enzi cha Daudi

Na ufalme wake milele

Verse 4

Kuthibitisha na kutegemeza

Kwa hukumu na haki

Verse 5

Tangu sasa na hata milele wingunwa Bwana wa Majeshi, ndio utakaotenda hayon