Chorus
Tumekuwa mashujaa wa Bwana Yesu * 2
Tumekuwa mashujaa wa Bwana Yesu * 2
Verse 2
Roho wa Mungu awe nasi siku zote
Atujalie paji hekiman
Verse 3
Roho wa Mungu awe nasi siku zote
Atujalie paji la elimu
Verse 4
Roho wa Mungu awe nasi siku zote
Atujalie paji la utashi