Tumeingia

Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,MarianEntrance
Chorus

(Tumeingia) x2

Nyumbani mwa Bwana-aa

Tushangilie tumwabudu x2

Verse 2

Kwa nyoyo saf nazo tumwenden– ee - Tushangilie tumwabudu

Verse 3

Ni shangwe kubwa na sifa kwa

Bwana aa -

Verse 4

Imbeni nyimbo nazo kwa furaha-aa -

Verse 5

Ni Bwana Yesu ametualika-aa -