Chorus
Tumaini letu ni kwa Bwana
Kwa maana ana uwezo wa milele
Verse 2
Tutamsifu Bwana siku zote -
Kwa maana ana uwezo wa milelen
Verse 3
Yeye ndiye mwanzo wa uzima -
Verse 4
Vitu vyote vimeumbwa naye -n
Verse 5
Yeye ndiye kiongozi wetu -
Verse 6
Yeye ndiye aliyetuumba -n
Verse 7
Tumsifu tumwabudu daima -
Verse 8
Ni yeye anayetuongoza -
Verse 9
Sifa na uwezo viwe kwake -
Verse 10
Nguvu na ulinzi ni kwake -