Chorus
Tumaini letu ni kwa Bwana, kwa maananana uwezo wa milele.
Verse 2
Tutamsifu Bwana siku zote
Chorus
Kwa maana ana uwezo wa milele
Verse 4
Yeye ndiye mwanzo wa uzima-n
Yeye ndiye aliyetuumba-n
Vitu vyote vimeumbwa naye-n
Yeye ndiye kiongozi wetu-n
Tumwabudu tumsifu daima-n
Sifa na uwezo viwe kwake-n
Nguvu na ulinzi ni kwa Bwana-n
Uzima na wokovu ni kwake-n
Atukuzwe katika Utatu-n
Kama mwanzo, sasa na daima-