SectionsBible ProcessionTulitangaze Neno

Tulitangaze Neno

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Christmas,Christmas,Ordinary Time,MarianBible Procession
Verse 1

Tumeitwa na Yesu - tulitangaze Neno *2

Wazee pia na wamama - tulitangaze Neno * 2

Chorus

Tulitangaze neno lake, kwa mataifa mbalimbali

Tulitangaze neno lake, ulimwenguni kote

Verse 3

Ni neno la bariki-

Ni neno pia lafariji

Verse 4

Vijana na watoto -

Wadogo pia na wakubwa

Verse 5

Ni neno linakuja-

Ni neno pia laokoa-

Verse 6

Ni neno lake Bwana -

Ni neno ambalo linaponya -