Chorus
Tuliona nyota (tuliona nyota) yake (kule) mashariki
Na tumekuja na zawadi kumsujudia Bwana
Verse 2
Yesu Kristu alipozwaliwa Bethlehemu ya Uyahudi
Tazama mamajuzi wale wa mashariki
Ni zamani za yule mfalme anayeitwa Herode
Wafika Yerusaleme nao wakisema
Verse 3
Yuko wapi aliyezaliwa mfalme wa wayahudi?
Kwa maana sisi tuliona nyota yake mashariki.
Nasi tumekuja kumsujudia,
Herode kusikia, anafadhaika.