SectionsEucharistTujongeeni Mezani

Tujongeeni Mezani

Ordinary Time,Ordinary TimeEucharist
Chorus

Tujongeeni mezani, mezani mwa bwana*2 ili tukauonje utamu wa mbingu

Verse 2

Mwili wake bwana yesu ni chakulandamu yake bwana yesu ndicho kinywajin

Aulaye mwili wake ana uzima,nainywaye damu yake taburudishwan

Hima hima twende wote tumpokee,nili tupate uzima wa roho zetun

Ukarimu wake bwana wa ajabu kwani ametualika mezani pake