Chorus
Tuingie Nyumbani x2
Kwa Baba Muumba wetu,nmilango yote wazi.
Verse 2
Bwana anatungoja –
Chorus
Tuingie kwa shangwe
Verse 4
Mwana anatungoja –
Roho anatungoja –
Utatu Mtakatifu –n
Tunjongee uso wake –
Tukapate neema –
Tupate kutakaswa –
Shukrani tumtolee –n
Leo ni siku kuu –
Tumshukuru Mwenyezi –
Yeye mchungaji mwema –
Nasi kondoo wake –n
Maria mama yetu –
Palipo na furaha –
Yusufu mtakatifu –
Watakatifu wote –