Chorus
Tuingie nyumbani mwa Bwana kwa furahantumwabudu Bwana x2
Tuingie-tuingie, tuingie-tuingie,ntuingie tuingie kwa Bwana x2
Verse 2
Bwana Yesu atualikan- kwa furaha tumwabudu Bwana.
Twende kwake siku ya leo -n
Verse 3
Wa baba wote mwakaribishwa -nkwa furaha na
Wa mama wote mwakaribishwa -
Verse 4
Wazee wote mwakaribishwa -
Vijana wote mwakaribishwa -
Verse 5
Watoto wote mwakaribishwa -
Mcheze mbele yake mwenyezi -
Verse 6
Waimbaji wote twakaribishwa -
Tuimbe nyimbo za kumsifu mwenyezi n
Verse 7
Tucheze ngoma pia kayamba -
Vigelegele na tuvipige -