SectionsExitTufurahi Sote Katika Bwana

Tufurahi Sote Katika Bwana

Ordinary Time,Advent,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Lent,Ordinary Time,Marian,Christmas,Ordinary TimeExit
Chorus

{ Tufurahi sote katika Bwana,

Tunapoadhimisha siku kuu

Kwa heshima ya bikira Maria } *2

Verse 2

Malaika wanafurahia kupalizwa kwake mbinguni

Na wanamsifu mwana wa Mungu aleluya

Verse 3

Bwana amewafunulia mataifa wokovu wake

Ameidhihirisha haki yake aleluya

Verse 4

Atukuzwe Baba na mwana na Roho Mtakatifu

Kama mwanzo sasa na siku zote