Chorus
Tufurahi Mkombozi leo kazaliwa
Tumwimbie aleluya Mkombozi wetu
Na tufanye shangwe tumshangilie
Tumwimbie aleluya Mkombozi wetu
Verse 2
Dunia yote ifanye shangwe mbele za Bwana
Mwokozi kazaliwa
Verse 3
Na wachungaji wanafurahinna malaika mbinguni wanaimba
Verse 4
Amezaliwa kwa ajili yetu,ntumpokee tuimbe aleluya
Verse 5
Ametutoa katika giza tufurahie
Mwokozi kazaliwa
Verse 6
Utukufu kwa Mungu mbinguninna duniani kote kuwe amani