Chorus
Toeni - toeni sadaka *2 kwa Bwana
Verse 2
Pokea vipaji ee Bwana,
Sadaka mkate twakupa
Verse 3
Pokea vipaji ee Bwana,
Sadaka divai twakupan
Verse 4
Nyoyo zetu pia ee Bwana,
Twakupa tena pokean
Verse 5
Pesa zetu zawadi twakupa,
Shukrani twasema ee Bwanan
Verse 6
Roho mtakatifu njoo karibu,
Sadaka nazo upokee