Chorus
Toeni sadaka toeni sadaka
Toeni sadaka kwa upendo wa Mungu toa
Verse 2
Ulicho nacho - kwa upendo wa Mungu toa
Verse 3
Kiini cha ngano - kwa upendo wa Mungu toa
Verse 4
Na nyumba yako - kwa upendo wa Mungu toan
Toeni sadaka toeni sadaka
Toeni sadaka kwa upendo wa Mungu toa
Ulicho nacho - kwa upendo wa Mungu toa
Kiini cha ngano - kwa upendo wa Mungu toa
Na nyumba yako - kwa upendo wa Mungu toan