SectionsExitToba Yangu

Toba Yangu

Ordinary Time,Ordinary Time,Advent,Ordinary Time,Advent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeExit
Chorus

{ Ungalianza kuhesabu maovu yetu,nnani angeweza kusimama mbele yako }*2

Nani angeweza, nani angeweza-nnani angeweza kusimama mbele yako } *2

Verse 2

Wazee kwa vijana tumekosa,

Bwana twatubu twalilia ee Bwana uso wako

Verse 3

Kwa mawazo kwa vitendo tumekosa,

Bwana twatubu twalilia ee Bwana uso wako

Verse 4

Kwa anasa za dunia tumekosa,

Bwana twatubu twalilia ee Bwana uso wako

Verse 5

Ulevi na ukaidi tumekosa,

Bwana twatubu twalilia ee Bwana uso wako

Verse 6

Maria Bikira mwema mwenye heri,nutuombee kwa mwanao ee mama, Yesu Kristu.