SectionsExitToa Kwanza Boriti

Toa Kwanza Boriti

Ordinary Time,Advent,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,MarianExit
Chorus

Toa kwanza boriti ndani ya jicho lako

Ndipo uone kibanzi ndani ya jicho la ndugu yakon{Maana utamwambiaje, utamwambiaje nduguyo

Hebu nikitoe kibanzi, ndani ndani ya jicho lakon(Na kumbe mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe) *2}

Verse 2

Msihukumu msije mkahukumiwa nyinyi

Hukumu mhukumuyo ndiyo mtahukumiwa nyinyi

Kipimo mpimiacho ndicho mtakachopimiwa

Verse 3

Ombeni nanyi mtapewa/ tafuteni nanyi mtaona/

Bisheni nanyi mtafunguliwan

Verse 4

Basi yoyote myatakayo mtendewe na watu/nnanyi watendeeni vivyo hivyo

Maana hiyo ndiyo torati ya manabii