Verse 1
Hii ni tiketi tiketi yangu ya Mbinguni we, naanza safari hiyo
Nipishe nipite dunia hii ni mapito tu , naanza safari hiyo
Chorus
{ Imani na matendo, (sala) sala na ibadan(takatifu) Ndiyo ngao yangu hiyo } *2
Verse 3
Mimi sitalala tiketi yangu nailinda tu
Wala sigeuki kule aliko mwovu shetani
Verse 4
Furaha ukarimu mizigo yangu naibeba tu
Jemedari wangu ni Bwana Yesu simba wa vita
Verse 5
Nimhofu nani nimwogope nani mwenye mwili
Safari ni ngumu lakini Yesu ni dereva we
Verse 6
Safiri salama katika meli ya Mbinguni
Nahodha shupavu ni Bwana Yesu kaza mwendo e