SectionsEntranceThen Sings My Soul (Swahili)

Then Sings My Soul (Swahili)

Ordinary TimeEntrance
Verse 1

Bwana Mungu nashangaa kabisa

Nikifikiri jinsi ulivyo nyota, ngurumo, vitunvyote pia, viumbwavyo kwa uwezo wako

Chorus

Roho yangu na ikuimbie,njinsi wewe ulivyo mkuu,

Roho yangu na ikuimbie,njinsi wewe ulivyo mkuu.

Verse 3

Nikitembea pote duniani, ndege huimba,nnawasikia, milima hupendeza machonsana, upepo nao nafurahian

Nikikumbuka vile wewe Mungu, ulivyonmpeleka mwanao, afe azichukue dhambin‘zetu, kuyatambua ni vigumu mnon

Yesu Mwokozi utakaporudi, kunichukankwenda mbinguni, nitaimba sifa zakonmilele, wote wajue jinsi ulivyo