SectionsEntranceTeremka Bwana Teremka

Teremka Bwana Teremka

Ordinary Time,Ordinary Time,Advent,Ordinary Time,AdventEntrance
Chorus

{ Teremka Bwana teremka,

Teremka toka mawinguni, teremka

Toka mawinguni mpaka duniani } *2

Na tazama wanao wanavyokuimbia *2

Wafurahi kwa ajili ya utukufu wako

Verse 2

Shuka toka mbinguni, tazama makanisani

Watu wote wanakusifu na kusema

Verse 3

Shuka toka mbinguni, tazama na misituni

Ndege wote wanakusifu na kusema

Verse 4

Shuka toka mbinguni, tazama huko porini

Wanyama wote wakusifu na kusema