|s| {Haya haya haya tena haya tumerudintena kukuimbia kukusifu kwa nyimbontena watu kuwainua tena wakutukuze wewe }* 2n|b| haya haya haya tena haya tumerudintena twaja kukuimbia kukusifu kwa nyimbo tenantena wakutukuze wewe tenan|a| haya haya tena haya tena haya tena kukuimbia
Kukusifu kwa nyimbo tena tena tenanwakutukuze wewe tenan|t| haya haya tena haya tumerudintena twaja kukuimbiaTena tenanwatu kuwainua tena wewe tena wewe tena } 2
Teremka uzisikilize nyimbo tulizokutungia
Karama ulizotujalia
Njoo Bwana uzisikie sauti tamu ulizoumba
Wanao tunakurudishia
Tega sikio usikie midundo tunayokupigia
Yote hii wewe utukuzwe
Tupa jicho ujionee miondoko tunayokanyaga
Mifupa uliyotujengea
n{Ni wewe tena uhimidiwe ni wewe tena!
Ni wewe tena ushangiliwe tena }*2